Sunday, 17 July 2016

M'Baye Niang kuendelea kuwepo Ac milan

Mshambuliaji wa club  ya soka ya italia Ac milan M'Baye Niang Nimesema ataendela kuepo San Siro mpaka msimu wa 2016-2017   "sijawahi kuzungumzia kuhusu swala la usajili na sijawahi kufikiri kuhama" akimwambia mwandishi wa gazeti la La gazzetta  Dell sport "mimi ni mchezaji wa Ac Milan Na pia nafurahi kuwa hapa na nitaendelea kuwepo hapa Milan Naitaji kuwa mtu muhimu katika timu hii.
"Tangia siku ya kwanza kurejea nimekua nikiongea sana na kocha Na sasa Najua nini nitafanya kama nitakua mshindi.

No comments:

Post a Comment